wakuu offer hiyo hapo nahitaji Mil 4 tu, pungufu sipokei ila nyongeza tutaelewana na wala madalali hawahitajiki. nicheki kwa 0713 262798. Ni starlet 1994, manual, EP82 closed top cc 1300 KM 156,748. haina tatizo lolote na iko barabarani inapiga mzigo. Ilikuwa registered 1/7/2003