Recent content by MWEUSI TINDIKALI

  1. MWEUSI TINDIKALI

    Vitu gani ni vya muhimu kwa anayetaka kurudia mtihani wa kidato cha 4?

    Aisee naomba wadau wa JF wanijuze utaratibu wa kurudia mtihani wa kidato cha 4 na vitu vinavyohitajika kwenye hili Nilimaliza form 4 miaka 13 iliyopita ila now nataka nirudie mtihani kwa sababu za kikazi msaada ndugu zangu
Back
Top Bottom