Yaan usiombe ya kakutokea ndugu its too sad, kuona unaacha kuendelea na masomo nawakati umepata GPA ya juu alafu unaacha school, I will never forget it in my life................ Never forget..... My Government.......
Lakini kumbukeni kua japo mnamtia moyo asubiri je anaenda chuo au yupo home mana vyuo vimefunguliwa mda mrefu na vyuo vingine wanakaribia test one, hapo kuna kupitwa na masomo kwa ujumla ndo baadaye mwanafunzi anafanya vibaya kwenye masomo yake.
Kwanza nikupe pole ndugu, mm poa cjapata mkopo japo niliomba sasa nimeshindwa kuendelea na masomo yangu ya degree kutokana na wazazi kushindwa kulipa ada mana tangu certificate na diploma walinilipia. Ukitegemea kipato chao cha chin (kijijini)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.