Recent content by Mwenyewe0000

  1. M

    Nazidi kuamini na kuona inawezekana kabisa kuacha kupiga Punyeto

    Asante sana. Nazidi kumuomba Mzungu na kudhamiria nitafika nakuzipita nakuachana kabisa na zile addiction.
  2. M

    Ushuhuda wa jinsi nilivyofanikiwa kuacha punyeto

    Ni Siku 37 toka nimeacha kupiga Punyeto Asante sana Mungu, nilijua inawezekana ila ukaniambia sio kwamba inawezekana tuu bali nitakuwezesha. Katika yote ninayopitia bado umeniwezesha. Pale hali zote za nje zinapoona kuwa siwezi, mazingira yakiona siwezi nikiyatazama na yatengenezea namna ya...
  3. M

    Nazidi kuamini na kuona inawezekana kabisa kuacha kupiga Punyeto

    Ni Siku 37 toka nimeacha kupiga Punyeto Asante sana Mungu, nilijua inawezekana ila ukaniambia sio kwamba inawezekana tuu bali nitakuwezesha. Katika yote ninayopitia bado umeniwezesha. Pale hali zote za nje zinapoona kuwa siwezi, mazingira yakiona siwezi nikiyatazama na yatengenezea namna ya...
  4. M

    Nazidi kuamini na kuona inawezekana kabisa kuacha kupiga Punyeto

    week ya 3 ( Siku 21) bila kupiga Punyeto. Ninaendelea Kumshukuru Mungu kwa kila siku anavyonipagnia, Mambo Makubwa niliyoyafanya. *Jumapili nilienda Kanisani nikatoa Sadaka ya Shukrani, pia Nikamuomba Mungu azidi kunisaidia kwa kuwa pekee yangu siwezi. *Kuna wakati nilipitiwa kwenye jaribu...
  5. M

    Ushuhuda wa jinsi nilivyofanikiwa kuacha punyeto

    week ya 3 ( Siku 21) bila kupiga Punyeto. Ninaendelea Kumshukuru Mungu kwa kila siku anavyonipagnia, Mambo Makubwa niliyoyafanya. *Jumapili nilienda Kanisani nikatoa Sadaka ya Shukrani, pia Nikamuomba Mungu azidi kunisaidia kwa kuwa pekee yangu siwezi. *Kuna wakati nilipitiwa kwenye jaribu...
  6. M

    Ushuhuda wa jinsi nilivyofanikiwa kuacha punyeto

    Mungu atukuzwe kwaajili yako, hongera sana. Kuna kitu kizuri wale waliopita ukawasaidia haukuwasaidia wao tuu Bali Mungu alikunusuru na kukusaidia wewe. Utaweza kabisa kaka, na Mungu yu Pamoja nawe. Tuzidi kuimarika haijalishi hali itakuwaje
  7. M

    Nazidi kuamini na kuona inawezekana kabisa kuacha kupiga Punyeto

    Kila LA heri, nakuombea uendelee kuimalika, na hakika unashinda. Endelea Kujiweka busy Kuomba sana Kutokaa pekee yako Kuepuka vishawishi Kila LA heri umefanya jambo LA Heri sana
  8. M

    Nazidi kuamini na kuona inawezekana kabisa kuacha kupiga Punyeto

    Nimefurahi kusikia hivyo Kaka, ninachojua pekee yetu hatuwezi ila tuimuomba Mungu na tukidhamiria tunaweza kabisa. Nafuata ushauri, Mazoezi, Kuwa busy na Nazi au kujisomea vitu, Kusoma sana NENO, Kumuomba Mungu, Kila siku nimetenga Muda wa kumshukuru Mungu kuwa na Leo umenisaidia, Kujitenga na...
  9. M

    Ushuhuda wa jinsi nilivyofanikiwa kuacha punyeto

    Asante, Bonge LA ushauri kutoka kwako, nitazingatia kwa makini na kabisa lazima Nishinde kwa kuwa Mungu yupo nami. More Zoezi Sala Lishe Kukwepa Vishawishi Asante
  10. M

    Nazidi kuamini na kuona inawezekana kabisa kuacha kupiga Punyeto

    Week 2 ( siku 14) pila kupiga punyeto. nazidi kuamini ukiamua na ukimuomba Mungu kuacha inawezekana kabisa hata iwe ngumu kiasi gani. asante kwa mnaoendelea kutoa ushauri, na ukiwa unapitia kwenye hiyo hali na unataka kuacha jua kuwa inawezekana nami nakaza mwendo kwa kuwa nimekusudia kuacha...
  11. M

    Ushuhuda wa jinsi nilivyofanikiwa kuacha punyeto

    Amen, I'm very serious indeed
  12. M

    Ushuhuda wa jinsi nilivyofanikiwa kuacha punyeto

    Week 2 ( siku 14) pila kupiga punyeto. nazidi kuamini ukiamua na ukimuomba Mungu kuacha inawezekana kabisa hata iwe ngumu kiasi gani. asante kwa mnaoendelea kutoa ushauri, na ukiwa unapitia kwenye hiyo hali na unataka kuacha jua kuwa inawezekana nami nakaza mwendo kwa kuwa nimekusudia kuacha...
  13. M

    Nazidi kuamini na kuona inawezekana kabisa kuacha kupiga Punyeto

    Niliona intention yako nikaona umefanya kusudi Ila nikajua utakuwa ulikosea, nikakusamehe.
  14. M

    Nazidi kuamini na kuona inawezekana kabisa kuacha kupiga Punyeto

    Umefananisha Saloon tena!!!!hapana. Kikubwa ni kaa ukijua MTU mzima akiamua, akiweka dhamira, pia akimuomba Mungu, tena mwanaume akiwa na msimamo, akaweka moyo na focus inayopelekea Kubadilika huwa harudi nyuma hata ufanye vipi. Mungu atusaidie kuwasaidia wengine Ila tusiwe wakuwafanya wengine...
Back
Top Bottom