Ni kweli mkuu elimu sio deal sana hasa hasa kwenye ndoa kikubwa ni kukidhi mahitaji,,, wastani wa kipato changu ni 180k -400k per month inategemea na mwezi wenyewe maana shughuli zangu sio uhakika sana japo 180k kwa kila mwezi haikosi
Anahitajika mdada kuanzia 24-30 kama yupo tayari kuanza maisha ya ndoa nipo Dodoma. Kazi yangu ni fundi wa ujenzi elimu yangu kidato cha nne, umri miaka 32.
Awe tayari tu kuolewa. Rangi, kabila na umbo sio inshu sana dini pia sio shida akiwa na mtoto mmoja sio mbaya.
Kama kuna mtu yupo tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.