Mama Janet alimuona Mwanakombo katika haliile watoto wote wa mtaani na Mama Janet alimtambua Mwanakombo kwa jina la Chidy kwa mara ya kwanza anaingia jijini alishuhudia mdada mmoja aliyekuwa akiitwa Subira alivyokuwa akibakwa mara kwa mara baada ya kutambulika ni binti.
Subira alikuwa mke wa...
Huu niutamaduni wetu watanzania na baadhi ya mataifa mfano wahindi na waarabu.
Sera nzuri ya kijamaa shida ni moja au mbili
1 jinsi tunavyo wasaidia ndugu zetu
Jamii ya watanzania husaidia ndugu zao kwa mtindi wa kukidhi haja ya anaye hitaji mfano mdogo wake ambaye anaweza kujishuhulisha...
Najua unajihisi mkosaji au unamikosi wakatimwingine pia marafiki wanakukatisha tamaa, wanakwambi kweli wewe hunabahati hata hili pia limekupita, ngoja nikwambie hayo upitiayo kuna wanadamu wenzako yanawakuta makubwa kuliko hayo.
Najua umeshwahi kujiuliza hivi kinanini kizazi cha ukoo wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.