Recent content by Mwemezi Farms

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti, ulifanikiwa, wapi ulifeli?

    pole, ndo kilimo, cha muhimu angalia ulifeli wapi ili uweze kuamka tena kutoka hapo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Misingi 5 ya ukulima wa Matikiti Maji

    Mubelwa, baada ya kulima tikiti maji mwaka 2024. Kaamua kupeleka mzigo mwenyewe sokoni, mjini Arusha. kafanya hivo baada ya kuona ya kwamba, madalali wa shambani wamekua ni wengi na wanahitaji kununua mzigo kwa pesa kidogo. Cha ajabu mara baada ya kufikisha mzigo sokoni anakutana na bei...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Misingi 5 ya ukulima wa Matikiti Maji

    Usijali Zinakuja Soon kuna ambacho umependa ili nikuwekee hicho kabla ya zingine?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Misingi 5 ya ukulima wa Matikiti Maji

    Kama umekua ukihangaika kuanzisha kilimo cha tikiti maji lakini hufahamu pakuanzia, basi makala hii ni mahususi sana kwako. Nasema hivo, kwa kua nimekua nikilima matikiti kwa muda mrefu tangu 2020 na hapa nitatiririka na misingi 5 ambayo itakuasaidia wewe kuanzisha mradi wa kilimo cha tikiti...
Back
Top Bottom