Recent content by Mwasi Sospeter

  1. M

    Naomba kujulishwa Shule Private za wasichana A-Level Mkoani Kilimanjaro zenye combi ya ECA

    Shule nyingine nzur ni scolastica & agape seminary(boys & girls).Pia kuna st.mary goreti hii ni ya girls bt nackia mwaka huu wamepokea boys..majengo nayo ni boy & girls.Ntajaribu kukuulizia nyingne pia
  2. M

    Shinyanga secondary a.k.a shy-bush kuna nini?

    Kuna nin shy bush...kuhusu walimu na mazingira pia?
  3. M

    Vitabu gani ni vizuri vya pure math

    Kitu cha Tranter a.k.a shetani mwekundu ni no noumer aise
  4. M

    Ushauri PCM

    Kijana CHANDs ndo kiungo...umefanya la maana kuwanacho!
  5. M

    Vitabu gani ni vizuri vya pure math

    TRANTER & CHANDS volume xi na xii
  6. M

    MSAADA! Shinyanga sec a.k.a shy bush

    Dah! Poa man ila mie cjaridhka nayo kabsa aise...!!
  7. M

    joining instruction shinyanga high school

    Duh! Kumbe sare unapewa palepale...!.jaman mie hyo skul wala ciepend/ciitak kabsa maana nackia ni taabu kwel kwel!
  8. M

    MSAADA! Shinyanga sec a.k.a shy bush

    Duh!..sa sijui nifanyeje jamani maana kila mtu ananiambia skul haiko poa duh!..naweza kupata uhamisho kweli?
  9. M

    joining instruction shinyanga high school

    Namie nimechaguliwa hapo nipe namba yako kijana.
  10. M

    MSAADA! Shinyanga sec a.k.a shy bush

    Kwa anayeijua shinyanga sec A.k.A shybush tafadhali naomba anijulishe shule iko vipi kimazingira na kimasomo pia?
  11. M

    walio chaguliwa galanos

    Jamani msaada kwa aliyesoma shinyanga sec a.k.a shybush.Shule ikovipi kimasomo?
Back
Top Bottom