Recent content by Mwasampeta

  1. Mwasampeta

    Hela za PT Kwa vyuo vikuu

    Nimesikia Leo au kesho mambo yatakuwa Sawa hebu jaribu nawewe kuuliza kwa wadau wengine
  2. Mwasampeta

    Najuta kupangiwa field Mtwara

    Waliopangwa kazi kuna kitu wanapata kila mwezi, sasa kwa hawa wa field wanategemea mkopo toka heslb. Labda unamaanisha Nini ktk maandiko yako mkuu?
  3. Mwasampeta

    Hela za PT Kwa vyuo vikuu

    Chuo gani wewe?
  4. Mwasampeta

    TCU guide book

    Ambazo not hambazo boss
  5. Mwasampeta

    Bumu

    Fikiri kwanza mkuu, usitumie stress zako kuutibua Uzi huu otherwise watu wasingelikuwa wanauliza katika nyuzi mbalimbali za Jf. Mchana mwema.
  6. Mwasampeta

    Bumu

    Jamani eti ni kweli Kuwa pesa za pt na tp zinaanza kulipwa next week j3 na j4? Mliokaribu na vyanzo vya habari tuhabarisheni.
  7. Mwasampeta

    Aris-Udsm

    Acha kumdanganya, hata ukidisco ni lazima uyaone matokeo yako then afer few weeks wanakufuta aris Ndipo hutaweza kuyaina.
  8. Mwasampeta

    Aris-Udsm

    Mbona tangu Jana yametoka matokeo aris we wa wapi?
  9. Mwasampeta

    Naomba mwenye kufahamu kiwango cha mshahara kwa walimu cheti anijuze tafadhari

    Mwalimu wa degree Ana take home tsh ngapi at first appointment?
  10. Mwasampeta

    Naomba mwenye kufahamu kiwango cha mshahara kwa walimu cheti anijuze tafadhari

    Mkuu vipi mshahara wa mtu wa degree ya ualimu take home yake ni tsh ngapi kwa walimu wapya?
  11. Mwasampeta

    Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

    Nawashukuru ndugu zangu kwa ushauri nitautendea kazi
  12. Mwasampeta

    Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

    Jamani naomba msaada wenu, mwanangu Ana miaka nane sasa still anakojoa kitandani kila Siku. Nifanyeje aache? Please naombeni ushauri wenu wana JF.
  13. Mwasampeta

    HESLB itaanza kutoa hela baada ya sikukuu ya EID EL FITR

    Nenda bod mkuu utapata jibu lenye uhakika. Zikifika Hizo habari ni majanga nenda mapema
Back
Top Bottom