Recent content by mwasakileo

  1. M

    JamiiForums Rafiki yangu wa kike kila anapolala huhisi kuwa anapigana na nguvu fulani na pia ananyongwa akiwa usingizini

    Pia mtoto wake wa kike anaota ndoto usiku za kutisha analia lakini akiamka hakumbuki alichokuwa anaota Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Rafiki yangu wa kike kila anapolala huhisi kuwa anapigana na nguvu fulani na pia ananyongwa akiwa usingizini

    Tatizo Hili linasababishwa na nini na a naweza tatua vipi Maana Hili tatizo limemwanza miezi michache iliyopita na anapoamka anahisi uchovu na maumivu lakini akiwa usingizini haoni anachopigana nayo. Please help Any one who has solutions Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom