Recent content by mwarobaini

  1. M

    Sakata la Kashfa ya Richmond: The Facts

    Hiyo itakuwa kweli. Lowassa na Mohamed Gire wapi na wapi?
  2. M

    Sakata la Kashfa ya Richmond: The Facts

    Lazima JK atakuwa najua yote yaliyotokea. Ilikuwaje awe Dodoma katika kipindi hiki cha Bunge la kukata na shoka, yote ilikuwa ni kujaribu kumuokoa jamaa yake. Katika hotuba yake ya Juzi Diamond,alikuwa najaribu kurejesha siasa za uvyama kwa kuvitaja vyama kwa majina ili wabunge na wananchi...
  3. M

    Sakata la Kashfa ya Richmond: The Facts

    JK hizo ndizo zake hata mwaka 1994 IPTL walipokanyaga Tanzania kwa mara ya kwanza alikuwa waziri wa Nishati na Madini ndiye aliyewapokea. Akina Lowassa, Msahaba na Karamagi cha mtoto!!!
Back
Top Bottom