Habarini humu waungwana!
Mimi ni mwanaume, natafuta mwanamke tujenge mahusiano, kama mambo yataenda vizuri tuoane panapo majaaliwa mwakani. Kwa sasa nipo nje ya Tanzania hivyo ni ngumu huku niliko kupata Mswahili mwenzangu.
Mwanamke mwenye sifa hizi anaweza kuja mengine tutaongea zaidi dm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.