Recent content by Mwangwala

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    hicho kitu kimenitokea hata mimi. nafikiri inawezekana coz mimi nina kuku wa kienyeji ni kishingo,ametaga mayai zaidi ya 25 na bado anaendelea. imebidi niyaweke kwa kuku wengine wanaoatamia
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Huu uzi ni zaidi ya chuo! umenihamasisha nianze ufugaji wa kuku wa kienyeji! mambo karibu yote naona yamepitiwa na wadau tena kwa vitendo na sio nadharia.kuanzia nilipouona na kufuatilia maelezo ya kwanza ya mkubwa KUBOTA ilinifanya nione kuwa tayari nimepata pa kutokea. nilitumia kama 1.5ml...
  3. M

    JamiiForums Tanzania kuku wa kienyeji ni deal

    Nashukuru sana chasha
  4. M

    JamiiForums Tanzania kuku wa kienyeji ni deal

    nimejifunza mengi kuhusu ufugaji wa kuku wa kienyeji humu JF na nimefanikiwa kujenga banda bora na kuanza ufugaji huo.MUNGU AWABARIKI WANA JF WALIONIFANYA KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE KUFIKIA HATUA HII.
Back
Top Bottom