Recent content by mwandende

  1. mwandende

    JamiiForums Tanzania Madeleka: Nitakwenda Tabora kumtetea Sophia, kumtongoza Mkuu wa Mkoa siyo Jinai

    Hii kesi ni kama ya mwanamke kushitaki kwa mumewe Kila anapotongozwa na mwanaume huko nje. Lakini je ,,,wanaume anaowakubali mbona hasemi?
  2. mwandende

    JamiiForums Tanzania Kuna martial art bora kuliko Judo?

    Judo ni mieleka iliyochangamka, Martial art ni hatari zaidi..
  3. mwandende

    JamiiForums Tanzania Kuna martial art bora kuliko Judo?

    Kung fu ndy imebeba kila kitu
  4. mwandende

    JamiiForums Tanzania Utamu wa wakubwa!!

    Wheelbarrow hii ndy style yangu pendwa ya knockout.. Lazima upige yowee
  5. mwandende

    JamiiForums Tanzania Nimeokota chungu kizuri njia panda kilikuwa na madawa, nataka nikasafishe nitumie kupikia. Ni sawa kweli?

    Hakuna shida mkuu,,nishakuta nazi njia panda nikavunja nikatumia kwenye mboga na hadi sasa nipo fresh.. Kwa sasa hakuna waganga ni matapeli tu..
  6. mwandende

    JamiiForums Tanzania Siku hizi husikii madawa ya kulevya/Dhahabu kukamatwa Airport

    Pale cha mtoto pale nyundo tano sita upo nyumbani,, Tatizo hapa kwetu ndy mkomoeni..
  7. mwandende

    JamiiForums Tanzania Siku hizi husikii madawa ya kulevya/Dhahabu kukamatwa Airport

    Kwa sasa watu wanaogopana sana, informers kibao mjini,ndy maana wanafanya biashara kwa siri kibwa sn.. yaani hii sheria za madawa wangewekewa mafisadi na wanaohujumu inchi ,,wanaokula mali ya umma,, Hakika Tanzania ingenyooka sn.. Siku zote nasema kwamba wenzetu wazungu kesi za madawa ni kesi ya...
  8. mwandende

    JamiiForums Tanzania Siku hizi husikii madawa ya kulevya/Dhahabu kukamatwa Airport

    Tena mkubwa sn
  9. mwandende

    JamiiForums Tanzania Siku hizi husikii madawa ya kulevya/Dhahabu kukamatwa Airport

    Watu wanavutwa watu kimya kimya bila kelele
  10. mwandende

    JamiiForums Tanzania Siku hizi husikii madawa ya kulevya/Dhahabu kukamatwa Airport

    Hata kutoka tu mkuu, tena wapo faster sn tu. Wana vimiminika fulani wakipitisha hata kwenye nguo ulizovaa wanakunasa...ina detect wanajuwa... Mara 2 nishavutwa hapo wakati wa kutoka ila nilikuwa safi sina tatizo..
  11. mwandende

    JamiiForums Tanzania Siku hizi husikii madawa ya kulevya/Dhahabu kukamatwa Airport

    Kabisa..ila huko kwengineko wameminya hatari
  12. mwandende

    JamiiForums Tanzania Siku hizi husikii madawa ya kulevya/Dhahabu kukamatwa Airport

    Wapo wanabishi wenye roho za chuma wanapenya hapo hapo JNIA.. ila kwa technology waliyonayo kwa sasa hapo ni risky 90%
  13. mwandende

    JamiiForums Tanzania Siku hizi husikii madawa ya kulevya/Dhahabu kukamatwa Airport

    Nawashangaa sn watu wanaobeza airport zetu especially JNIA AIRPORT,,huo uwanja nuksi sana tu.. Ukijichanganya umekwisha. jamaa wapo makini sn .. Ukweli ni kwamba kwa sasa watu wamebaadilisha njia... Hakuna anayependa kufungwa maisha..
  14. mwandende

    JamiiForums Tanzania Lengo kuu la kuchumbia au kupeleka barua ya posa ni nini?

    Nilidhani utauliza lengo la kumvalisha pete ya uchumba mwanamke ni nn? Ila barua ni desturi ya mwafrika ya kufika nyumbani kwa mwanamke na kuulizia uwezekano wa kuoa ..
  15. mwandende

    JamiiForums Tanzania Tahadhari! Bahari Ina Roho Na Inaweza Kukuua

    Huna unalojuwa mkuu,,jifunze kuheshimu taaluma za watu.. Unaijuwa bahari kwa kuiona au kwa kuishi baharini?
Back
Top Bottom