Recent content by Mwanasheria Lunkunku

  1. M

    Tutarajie Uchaguzi mdogo Jimbo la Buhigwe baada ya Dkt. Philip Mpango kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa JMT

    Josh J umeiba andiko langu (plagiarism) bila kutaja source na umeondoa Jina langu (Matojo M. Cosatta) kwenye andiko langu . Andiko hili nimeli post mara ya kwanza kwenye group la WhatsApp linaitwa Maswali Magumu saa 5 na dakika 34 leo tarehe 30 March, 2020.
  2. M

    Tutarajie Uchaguzi mdogo Jimbo la Buhigwe baada ya Dkt. Philip Mpango kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa JMT

    BAADA YA DK. PHILIP MPANGO KUWA MAKAMU WA RAIS JIMBO LA UCHAGUZI LA BUHINGWE MKOANI KIGOMA LIKO WAZI. Mbunge akiteuliwa kuwa Makamu wa Rais anakoma kuwa mbunge. Hivyobasi, Dk. Philip Isidori Mpango atakapo apishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakoma kuwa mbunge wa...
  3. M

    Nani ungependa awe Mwanasheria Mkuu mpya wa Serikali ya Rais Mpya ?

    Mimi ningependelea mmojawapo kati ya watu wafuatao awe mwanasheria mkuu wa serikali; (1) Audax Vedasto Kaendaguza (2) Francis Kwilabya Stolla (3) Alex Mgongolwa
  4. M

    Fatma Karume's opinion on president's power to confer the municipality status of the city was given per incuriam

    Je vipi kuhusu kuwafundisha wanafunzi wa sheria wa chuo kikuu shahada ya sheria kwa lugha ya Kiingereza lakini wanakuja mtaani, maofisini na Mahakamani kufanya kazi kwa Kiswahili. Je unasemaje kuhusu hili?
  5. M

    Fatma Karume's opinion on president's power to confer the municipality status of the city was given per incuriam

    Naomba ufafanuzi hapa kwa kuwa lengo la kuachana na lugha ya sheria kwa Kiingereza katika tasnia ya sheria ni kwa sababu ni lugha ngumu ambayo Watanzania wengi hawailelewi halafu tunaenda kwa lugha sheria kwa Kiswahili ambayo watu wengi hawaielewi kutokana na kutotumika.
  6. M

    Fatma Karume's opinion on president's power to confer the municipality status of the city was given per incuriam

    Hapo kwenye maneno 15 umeambulia maneno mangapi ya Lugha ya Sheria kwa Kiswahili?
  7. M

    Fatma Karume's opinion on president's power to confer the municipality status of the city was given per incuriam

    Kwa taarifa yako Lugha ya Sheria kwa Kiswahili ni ngumu sana kuliko Lugha ya Sheria kwa Kiingereza. Kwa mfano angalia misamihati ifuatayo ya sheria kwa lugha ya Kiswahili; (1) Ikirari (2) Kunga (3) Maumbizo (4) Kiolezo (5) Komangano (6) Jurisprudensia (7) Mdaawa (8) Dawaa (9) Kunga...
  8. M

    Fatma Karume's opinion on president's power to confer the municipality status of the city was given per incuriam

    In this matter the constitution is not a vexata questio rather it is the local government laws which are in issue.
  9. M

    Fatma Karume's opinion on president's power to confer the municipality status of the city was given per incuriam

    But there are mandatory procedural requirements prescribed by the law which are conditio sine quo non for establishment of every City which carry with them the concept of people's participation which is a rationale behind these mandatory procedural requirements.
  10. M

    Fatma Karume's opinion on president's power to confer the municipality status of the city was given per incuriam

    Naona unapiga ramli feki. Hacha kukalili bila ufahamu, sio kila Mwanasheria ni litigation lawyer anayeenda Mahakamani kuna corporate lawyers wanaofanya transactional legal practice na hawaendi Mahakamani maisha yao yote.
Back
Top Bottom