Recent content by mwanapole

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Katapila la kukodisha

    Nashukuru sana mkuu ntafanyia kazi ushauri wako.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Katapila la kukodisha

    Shamba lina miti na visiki hivyo hata wao wataangalia watanipa bei yao nami ntaangalia kama bei yao itakuwa na manufaa kwangu but shamba lile kwa vibarua majanga
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Katapila la kukodisha

    Ahsante pia kwa ushauri wako. Nitaongea nao then nipime kipi bora baina ya option hizo mbili
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Katapila la kukodisha

    Nashukuru sana mkuu, jumamosi nitakwenda kuongea nao
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Katapila la kukodisha

    Okey, so unanishauri nitafute mashine gani ?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Katapila la kukodisha

    Ahsante sana kiongozi kwa ufafanuzi wako, so hawa jamaa wapo wapi ? Maana nikionana nao itakuwa vizuri sana
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Katapila la kukodisha

    Habari wana JamiiForums, Nnimejitokeza tena kwa mara ya pili baada ya kupata ushauri kutoka kwenu juu ya kilimo cha Mbaazi hapo nyuma, well nimepata elimu mbalimbali na kuhudhuria mpaka semina za mazao jamii ya mikunde na hivi majuzi nilikuwa nanenane pale kwenye banda la chuo cha utafiti wa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naomba taarifa kuhusu soko la mbaazi

    Hakuna shida mkuu utapata tu mlejesho mambo yakisha kamilika
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba taarifa kuhusu soko la mbaazi

    nimekupata kiongozi, wacha nijitose tu muhimu ni kujipanga tu na ntawapa mrejesho nikilima na kuvuna
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba taarifa kuhusu soko la mbaazi

    Ni kweli kabisa lakini kuna watu wanalima na wanapata why sisi? hili ni zao la pili nakwenda kulima peke yake so ndo ntajua shida iko wapi!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba taarifa kuhusu soko la mbaazi

    Unakuwa mpole tu na kusonga mbele hakuna kurudi nyuma
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba taarifa kuhusu soko la mbaazi

    Okey, thanks mkuu nimekupata kwa maelezo yako.. katika makala nyingi nilizo zisoma za utafiti range ina angukia hapo hapo 5-6, but mbegu za muda mrefu zina toa mazao mengi kidogo 8-10 kwa maelezo yao waliyo yatoa ila kujua zaidi ni mpaka ulime wewe au umpate mtu ambaye amesha lima ndio hapo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba taarifa kuhusu soko la mbaazi

    Aisee pole sana mkuu, nimeuchukua ushauri wako na mimi nahisi hatutofautiani na mimi nilipolima ufuta mara mbili na huu ni mwaka wa tatu sasa lakini sipati kitu naishia kurudisha hela yangu ya kulimia tu but nimejifunza kitu muhimu sana nacho ni uangalizi wa karibu sana unahitajika, mfano mimi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba taarifa kuhusu soko la mbaazi

    Hakuna kukata tamaa mkuu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naomba taarifa kuhusu soko la mbaazi

    Nimekupata mkuu, well mie nipo na interest na mbaazi tu mahindi hapana kwa jinsi ulivyosema hapo mie naona kuna ongezeko si chini ya magunia matatu mkuu, na ikiwa chini ni magunia matano kwa maana hiyo ili upate magunia mengi lazima ulime ekari nyingi! ahsante kwa mchango wako mkuu
Back
Top Bottom