Nilitegemea mfurahi yeye kwenda mahakamani kwa kumsapoti ili aingie mkenge mfanikishe adhima yenu ya kummaliza,cha kushangza nyie wachangiaji wengi wenu mnamzuia kwa kumtahadhalisha, tukubaliane kuna jambo mnalijua mnaogopa litawatokea puani.
Upigwe risasi ushahidi unao tena mzito,unaishia...
Vipi ikiwa Lissu kadanganywa?,je kulala hiyo hotel kunauhusiano gani na shambulizi lake?,tumieni elimu yenu ndogo kutafakari Sheria badala kudhaniadhania hovyo
Hivi vichwani mwenu huwa kumejaa mavi badala ya ubongo?,yaani mwaka wa nne huu mnadai ushahidi upo,hamuendi mahakamani ili haki itendeke,kazi yenu ni kuanzisha nyuzi kila uchao za kumkashifu na kumtukana matusi kedekede,hamuoni kwamba hiyo siasa maji taka?
Sasa yeye anakwenda mahakamani ili...
Hivi huu uzi mbona wa kifala sana,unajuaje kama hayo maswali yako hayakufanyika?,umesikiriza upande wa pili? au unatembea na mdundo wa Lema space?,unamwamini huyo muhuni?
Eti wananchi wangepiga picha,picha ya nini?,serikali ukiitia kidole yenyewe inakuzamishia mkono wote hapo ndio utajua nani...
Wewe weka tangible evidences kuhusu tuhuma dhidi yake,maana miaka inakatika moo nyuma ya keyboard kumshambulia,fungueni jalada,mnajidharaulisha sana mabwege nyie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.