Habari ya Jumapili wana wa Mungu.
Kama Tangazo linavyojieleza, nahitaji Lab Technician aliyesoma mambo ya Food Science, Logistic Specialist na Land Surveyor. Mwenye sifa hizo tafadhali anitumie CV kwenye WhatsApp namba 0615552325
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.