Serikali ya awamu ya nne na ya tatu hazina tofauti yeyote wote ni mafisadi.huwezi kuwa msafi wakati wafuasi wako wamejaa madhambi tupu,Huyu Jakaya katokea peponi la hasha alikuwa Waziri serikali ya awamu ya tatu,Nchi za ulaya na Marekani huondoa chama chote madarakani na kuweka chama kipya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.