Recent content by mwanakijiji lugusi

  1. mwanakijiji lugusi

    Msaada tatizo la mdomo kuwa na radha ya uchungu

    Wadau, Mimi nasumbuliwa kwa muda sasa tatizo la mdomo kuzalisha mate machungu ikiambatana na tumbo kunguruma na kadri tumbo linavyonguruma ndipo mdomo unakuwa mchungu zaidi na hali hii inakuwa mbaya zaidi hasa nyakati za asubuhi ninapoamka pia hali hii inapelekea mwili kuuma na viungo hakika...
  2. mwanakijiji lugusi

    Napata uchungu mdomoni, maumivu ya viungo na uchovu uliopindukiwa

    Nashkr kk Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  3. mwanakijiji lugusi

    Nina uvimbe pembeni ya mdomo. Sababu ni nini?

    Nilipewa dawa ya kusukutua lkn haikunisaidia Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  4. mwanakijiji lugusi

    Nina uvimbe pembeni ya mdomo. Sababu ni nini?

    Unauma ila hakuna USAA na wala sitoi usaa sivuti sigara na sijawah Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  5. mwanakijiji lugusi

    Nina uvimbe pembeni ya mdomo. Sababu ni nini?

    Msaada jamani. Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  6. mwanakijiji lugusi

    Napata uchungu mdomoni, maumivu ya viungo na uchovu uliopindukiwa

    Kapimwe akili Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  7. mwanakijiji lugusi

    Nina uvimbe pembeni ya mdomo. Sababu ni nini?

    Mkuu sijawahi zama chumvin hii hali ilianza kunitokea nikiwa na miaka 12 nikiwa LA tano
  8. mwanakijiji lugusi

    Nina uvimbe pembeni ya mdomo. Sababu ni nini?

    Wadau nina miaka kumi sasa kuna uvimbe mdomon nimetumia dawa ya kusukutua mouth wash lkn tatizo bado lipo nimeendea hospital lkn tatizo halipon nini tatizo na kama ni ngoma nimepima sana tu jaman nisaidien kwa kuwa hili tatizo linanitesa sana na lilianza kama kaupele hivi mdomoni.
  9. mwanakijiji lugusi

    Napata uchungu mdomoni, maumivu ya viungo na uchovu uliopindukiwa

    Nimetumia omeprazole na ant acid ya maji lkn hakuna nafuu
  10. mwanakijiji lugusi

    Napata uchungu mdomoni, maumivu ya viungo na uchovu uliopindukiwa

    Nateseka sana wadau nina miaka kumi hili tatizo nililonalo la mdomo kuwa mchungu huku viungo vya mwili vikiuma na uchovu uliopindukia, na nimejaribu kwenda hospital kucheki vipimo vyote lakini tatizo halionekani. Nimetumia madawa ya kila aina ya antibiotics lakini hali inazidi kuwa mbaya huku...
  11. mwanakijiji lugusi

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Wadau mimi mgeni hapa JF, Napenda kuuliza kama kuna ambao mmewahi kuugua vidonda vya tumbo mkawa na tatizo la ukosefu wa usingizi, woga ulokithiri, moyo kwenda mbio sana, kusahausahasu, hasira zisizo za lazima, maumivu makali ya mgongo, kupungua kwa uwezo wa ubongo kupambanua mambo, mwili...
Back
Top Bottom