Habari Wanajamii Forum.
Kama inavyojieleza apo Juu, Ninauza Kuku Wa Kisasa Wenye uzito zaidi ya 1kg, ni wazuri, wazito na tayari kwa nyama. Ninao kuku 500. Bei ni 5500 Tshs. ., ila kwa mteja anaehitaji zaid ya kuku 200 kwa mara moja naweza kumpunguzia bei kidogo.
(Huduma ya kuchinjiwa na...