Recent content by mwanaHalisi2070

  1. M

    GE2020 Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015-20 kwenye kuongeza fursa za ajira

    hakika CCM ilijjipanga kufanya uchaguzi mwaka huu tofauti na vyama vingine ambavyo vinabahatisha
  2. M

    GE2020 Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015-20 kwenye kuongeza fursa za ajira

    Iko miradi mingi sana imezungumzwa humu kwenye hiyo ilani ya CCM .mbona wenzetu chadema hawatuonyeshi ilani yao inazungumzia mambo gani kwani wana kwama wapi? Kwa kweli viongozi wa vyama pinzani vya nchi hii hawana ushawishi tena kwa wananchi kwa sababu ya uhuni ambao wamekua wakiufanya usanii...
  3. M

    GE2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

    Nilikua naipenda CCM ila kwa sasa hapana asee mambo mnayoyafanya naona hofu ya kupigwa chini na lisu inawaingia now
  4. M

    GE2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

    Sasa hayo si mambo ya kuelekezana kwenye vikao vyenu kwani lazima mje kwenye social media?? CCM mmepotea asee huu upepo wa lisu utawafurahisha.
  5. M

    GE2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

    Katibu Mkuu wa chama cha mapinduzi wewe ni kiongozi hondari sana katika kusimamia watu unao waongoza
  6. M

    GE2020 Baada ya Dkt. Kigwangalla kujibizana na Mo Dewji Twitter. Dkt. Bashiru amshukia Kigwangalla, amtaka am-tweet Dkt. Magufuli

    Chama Chenye Misingi imara ni chama cha mapinduzi hakika kina simamia misingi ya uadilifu na kufuata utaratibu kwa viongozi wake .
Back
Top Bottom