Kwa style hii ya Muroto na IGP Zero sidhani Kama Uchaguzi wa mwaka huu utamalizika Salama.
Naona dalili zote ya kile kilichotokea Marekani kwa Polisi kumwua raia Marehemu George Floyd kinakwenda kutokea Tanzania. Muda utaongea!
Katika swala hili la Mhe. Mbowe kushambuliwa na kuumizwa kuna makosa makubwa sana ya kiufundi yamejitokeza nayo ni:
Polisi kuruhusu Bunge, Wabunge na Spika kuingilia Uchunguzi na hivo uvuruga kabisa ushahidi wa tukio hili.
Polisi wameshindwa kabisa kuthibitisha pasipo Shaka kuwa Mhe. Mbowe...
Dunia imezizima, Africa imezimama na Marekani imezizima. Kifo cha Mmarekani mweusi Mr. George Floyd(48) kimebadilisha kabisa mwelekeo wa siasa za Kibaguzi si Marekani tu baali dunia nzima ikiwemo Tanzania.
Siasa za Kibaguzi zipo tu kila sehemu duniani. Kuna watu wanafikiri ubaguzi ni wa rangi...
Tatizo kwa awamu hii hakuna Utawala wa sheria. Magufuli ndiyo kila kitu! Jiwe anaingilia Mihimili yote kana kwamba yeye ni muumba wa Tanzanians na nchi yote. Very shameful President ever!
I beg to differ!
Magufuli halipi mshahara wa any civil servant. Kodi za Watanzania ndizo zinazolipa mishahara ya all civil servants inTanzania including Magufuli himself!!!Tatizo kubwa la Watz ni unafiki,nidhamu ya woga na kutanguliza maslahi binafsi!
Hayo ni maswali ya kihuni.
Hivi huko wanakotangaza idadi ya Maambukizi, walokufa au kupona kunakuwa na Ufufuo wa wafu?
Hizo ni data zinaxosaidia ku-alert jamii na kusaidia kupanga strategies za kukabiliana na Covid-19 kwa kujua ukubwa au udogo wa tatizo....!
Kunyamaza au kuficha taarifa za...
Uko sawa.
Kuna watu wanashindwa kuelewa kuwa Eneo la Ubalozi wa Merekani nchini Tanzania ni nchi kamili ya USA na Balozi ana Haki ya ku-report lilote au chochote anachokiona ndani ya Tanzania.
Covid-19 bado ipo Tanzania na ndiyo maana bado Serikali inasistiza watu kuvaa Barakoa, Majitiririka na...
Umenikumbusha jina la Baba wa Taifa la Zambia Mzee Kenneth Kaunda.
Very likely the Advocate crossed the border from Kitwe to Mbeya and pretends to be a Nyakyusa from Ileje...!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.