Recent content by Mwanahabari wa Taifa

  1. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Utajiri wa taifa lolote duniani si vitu, ni ubora wa watu wake

    Ni kweli, Utajiri wa taifa lolote duniani haupimwi kwa wingi wa mali na rasilimali zake, bali kwa ubora wa watu wake; kwa sababu watu wenye maarifa, ujuzi, afya, nidhamu na ubunifu ndio huibadilisha rasilimali kuwa maendeleo na kujenga uchumi imara.
  2. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Sifa mojapo kubwa ya PPP ni kupunguza Ukubwa wa Serikali, sio sawa kwa Serikali kumiliki mpaka stendi au Parking

    Serikali inapaswa kuweka mazingira wezeshi, kusimamia na kudhibiti, huku sekta binafsi ikishiriki katika uwekezaji na uendeshaji wa shughuli zinazoweza kufanywa kibiashara.
  3. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Biashara ya Tanzania Kimataifa yaongezeka Kwa 84%

    Nasisitiza tu🙏🏿
  4. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Miaka 60 hekta 500,000 za umwagiliaji miaka 4 ya Rais Samia hekta mpya 400,000

    Hata kama ni la Mzungu linahesabiwa tu silipo Tanzania
  5. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Matumizi ya mbolea yameongezeka kwa 100% bajeti ya kilimo imeongezeka mara tano

    Hongera sana Kafulila ila upelekwe sehemu yako sio hayo mappp
  6. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Biashara ya Tanzania Kimataifa yaongezeka Kwa 84%

    Ifike wakati Samia amwone na Kafulila
  7. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Miaka 60 hekta 500,000 za umwagiliaji miaka 4 ya Rais Samia hekta mpya 400,000

    Kwani hii kazi Kafulila kaanza Leo?
Back
Top Bottom