Recent content by MwanafunziTokaUrusi

  1. MwanafunziTokaUrusi

    JamiiForums Tanzania Nipe mawazo yako kuhusu hili

    Ukiwa na special sources itakuwa bora kwa ajili yangu.
  2. MwanafunziTokaUrusi

    JamiiForums Tanzania Nipe mawazo yako kuhusu hili

    sihusu siasa kabisa. naandika insha kuhusu Shaaban Robert, ninajifunza fasihi tu)
  3. MwanafunziTokaUrusi

    JamiiForums Tanzania Nipe mawazo yako kuhusu hili

    Ninajifunza Kiswahili miaka 4 hivi, nilikuwa katika Tanzania mwaka uliopita, na sasa naandika insha kuhusu Shaaban Robert, lakini siwezi kutafuta yo yote kuhusi jadi za Wabanti (zilizoandikwa kwa Kiswahili) , kwa hivyo naomba msaada wenu)
  4. MwanafunziTokaUrusi

    JamiiForums Tanzania Nipe mawazo yako kuhusu hili

    Hamjambo marafiki! Mimi ni mwanasayansi kutoka Urusi. Zina langu ni Maria. Mnisaidie tafadhali kupeleleza swali hilo. Mniandikie fikra zenu kuhusu jadi na mila za Wabantu na maana ya jadi katika jamii. Nitafurahia kupokea mawazo yenu yo yote. Asante sana!
Back
Top Bottom