Recent content by mwanafasafajo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua taratibu za kumtafuta mbia

    Akili ndogo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua taratibu za kumtafuta mbia

    Akili ndogo sana hawa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua taratibu za kumtafuta mbia

    Husika na Habari hapo juu,waheshimiwa shida Yangu ni moja tu kumtafuta mbia nisaidieni kujua niifanyie kazi! Idea Yangu inahusu kuanzisha mtandao wa kijamii wa kipekee!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kufanya ubia zikoje

    Habarini ndugu nina wazo la kuiboresha jamii forum ni naomba uongozi uwasiliane nani,naona nguvu ya jamii forum imeshuka nina idea nzuri sana,wazo hili nimeanza na jamii forum kabla sijawapelekea social network kubwa zaidi! Kama watapenda wanitafute maana natuma sms kwao zinagoma
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nikitaka kulitengenezea Haki Miliki Wazo Langu La Biashara Na Kuweka Ubia Nafanyaje?

    Hizo QUOTE="CHASHA FARMING, post: 32151478, member: 45900"] Huwezi milk hati milk ya Idea. Idea ni wazo na juwa zinafanana sana ila kwenye Impementation ndo huwa kuna utofauti. Leo hii huwezi kuwa na Idea ya kujenga nyumha juu ya mlima Kilimanjaro eti ukasajili ili watu wengine wasije jenga...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nikitaka kulitengenezea Haki Miliki Wazo Langu La Biashara Na Kuweka Ubia Nafanyaje?

    Cha u Acha uwongo mbona nimefuatilia nimeambiwa taratibu na nimeanza utekelezaji
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nikitaka kulitengenezea Haki Miliki Wazo Langu La Biashara Na Kuweka Ubia Nafanyaje?

    Wakati mwingine kama hujuinkaa kimya
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nikitaka kulitengenezea Haki Miliki Wazo Langu La Biashara Na Kuweka Ubia Nafanyaje?

    Ndugu nina wazo ambalo nimekwisha ongea na watu wachache ninao waamini wakaniambia nitafute wadau niweze kufanya nao ubia na kupata hati miliki naomba kuasilisha! Lakini Sijui namna ya kupata mbia na hati,naomba kujua taratibu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Mtu Anayefahamu Kuboost Faceook Page

    nisaidie ni mawazo mazuri
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Mtu Anayefahamu Kuboost Faceook Page

    Habarini ndugu,naomba kama MTU anafahamu kuboost Facebook page maana nilikwenda benki wakaniambia niingize security code lakini ile nilikuwa na code 10 wakati ile sehemu ya kuboost zinahitajika nne.Naomba nisadieni hili nahitaji sana,nifanyeje ukiwa benki walishanipa security
Back
Top Bottom