Hivi hapo unaona umetiririka mambo ya maana yanayoweza kumshawishi mtu mwenye akili timamu akakuewa, nashangaa!! Mdahiliwa ametoka katika familia maskini inayoishi kwenye nyumba ya nyasi, mlo mmoja kwa siku, shule ya kata hivi huyu mtu anajipangaje kwa tuition fee ya 4M +mengineyo, tuache utani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.