Sawa, I am Sold! Nimeteseka sana maishani hata sasa siogopi kifo tena, nipo tayari kusonga mbele sasa kwa njia yoyote. Siku kumi na moja kutoka leo, nitajua hatima yangu...adui zangu pia watajua hatima yao. Matokeo yaweza kuwa mawili tu.
Ningependa kujua umuhimu wa mwezi katika mambo ya nguvu za giza. Kuna aina fulani za uganga kama vile wicca ambayo huamini kuwa kazi inayofanywa huambatana na mwezi uliopo. Sijui kwa utaalam wako, kuna kuzingatia mambo kama hayo.
Hehe, bwana wewe naona ushapata ujanja. Wengine wetu bado tupo gizani. Lakini dunia ina mengi kweli, wakati mwingine unateswa na wanawake kila unayempata anakula vyako na kukuacha hoi, kama una moyo mwepesi utaweza fanya lolote ili ulipize kisasi. Lakini msamaha ndio tofauti yetu na mungu. Sijui...
Mkuu Mtu Mzito, kwa hili jambo la uchawi, je ni kama magonjwa mengine ambayo mitambo ya hospitalini hayawezi kuyaona hadi upite muda fulani ya kuupata ugonjwa huo. Yaani, kuna uwezekano mchawi akuroge leo na kesho ukienda kwa mganga apate kuona jambo ambalo umefanyiwa ama itabidi uchawi wenyewe...
Swali kwa Wataalam hapa Mtu Mzito na wenzake, mtu akipata habari ama fununu kuwa amefanyiwa mambo ya kiganga na mwanamke mpenzi wake ili ampende kiasi cha kuwa zezeta na kumwona yeye pekee na hata kumgharamikia sanaa na familia yake, je anaweza kujinasua yeye mwenyewe ama atakuwa hajielewi hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.