Haina shaka tulipo fikia hapa ni matokeo ya siasa za udini zilizotumiwa na ccm katika kila uchaguzi mkuu kwa makusudi ya kutugawa watanzani, sasa wamefanikiwa na matokeo yake ni chato. Kila uchaguz mkuu unapo fika ccm hutumia sera ya udini kama mtaji wao wa kisisa. Enzi za uhahi wa cuf walisema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.