Recent content by Mwampopo

  1. M

    Tatizo la kutokwa na mistari tumboni linasababishwa na nini?

    Hili tatizo lilianza mwaka uliopita. Nikaenda hospital waliniambia nipunguze uzito. Nimepunguza but bado hii mistari haitoki. Niini linaweza kuwa sababu ya hili tatizo na solution yake.
Back
Top Bottom