Siyo wewe tu mkuu unayehangaika kuna watu wanaumwa mpaka huruma lakini mambo ya uhamisho yamekuwa magumu sana. Tamisemi watuone huruma watu tutafia kazini mwisho wa siku utaambiwa pengo lako halitazibika baada ya siku mbili tatu kuna mtu anaziba nafasi yako,familia zetu zinateseka na hali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.