Recent content by Mwambamandevu_Jr

  1. Mwambamandevu_Jr

    Ufafanuzi kwa wale waliowahi kurudia mtihani wa kidato cha nne

    Inawezekana nimechelewa kutoa jawabu/ufafanuzi lakini pia naamini kwa wale watakao taka kurudia itawasaidia. Ipo hivi, Ukirudia mtihani ni lazima upate cheti, haijalishi ni masomo mangapi umeyafanya. Kigezo cha kusoma A-level ni 'C' tatu na kuendelea. Sasa kama unazo 'C' mbili na ukapata ya...
Back
Top Bottom