Recent content by Mwamba wa Dimbani

  1. Mwamba wa Dimbani

    Msaada: Gari inawaka taa ya ‘check engine’

    Mrejesho Sijafanya jambo lolote ie diagnosis nk. Nilichukua ushauri tu wa fundi umeme mmoja niliebahatika kuonana nae kuwa kuna uwezekano maji hufika mahala ambapo si sahihi kufika ndiyo maana taa inawaka, alitumia kigezovha gari ipo chini sana. TAA YA CHEKI INJINI HAIJAWAKA TENA TOKA...
  2. Mwamba wa Dimbani

    Msaada: Gari inawaka taa ya ‘check engine’

    Naomba elimu hy ya kuipima Mkuu kwa wote hapa ubaoni Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mwamba wa Dimbani

    Msaada: Gari inawaka taa ya ‘check engine’

    Sawa mkuu ntafanya hivyo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mwamba wa Dimbani

    Msaada: Gari inawaka taa ya ‘check engine’

    Hapana, hakuna mabadiliko ya muungurumo na nilipita kwa fundi makenika mmoja wa injini kuuliza baadhi ya mambo juu ya injini na akawasha gari akasema ipo sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mwamba wa Dimbani

    Msaada: Gari inawaka taa ya ‘check engine’

    Ahsante Mkuu Je, kuna dalili gani nyingine ilikuwa inaonyesha zaidi ya hy ya kuwaka taa ya check injini? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mwamba wa Dimbani

    Msaada: Gari inawaka taa ya ‘check engine’

    Habari za leo, Ndugu zangu naamini kuna mafundi wazuri tu humu na wazoefu wa masuala ya magari Nina tatizo ktk gari yangu aina ya Toyota Grand Mark 2 (Gx 110 injini ni 1G kavu). Kwa masiku kadhaa ya wiki iliyopita hapa Dar kulikuwa na mvua sana. Historia fupi ya tatizo Sasa kwa maeneo nayokaa...
Back
Top Bottom