Recent content by Mwamba Leonard

  1. Mwamba Leonard

    Ajira Portal wananiambia sina vigezo vya ku apply wakati kila kitu nimefanya nimekamilisha

    at the same time wengine wenye bachelor kama yangu tayari wame apply
  2. Mwamba Leonard

    Ajira Portal wananiambia sina vigezo vya ku apply wakati kila kitu nimefanya nimekamilisha

    Yangu ni Bachelor of Science with education na wanataka Bachelor of education au Bachelor with education ila pia walio na bachelor kama yangu washa apply fresh
  3. Mwamba Leonard

    Ajira Portal wananiambia sina vigezo vya ku apply wakati kila kitu nimefanya nimekamilisha

    Nime upload kila kitu sawa na nimefikisha 100% ila kwenye ku apply wananiambia niangalie vigezo hasa bachelor inayohitajika na nikiangalia niko sahihi ila bado haikubali ku apply
Back
Top Bottom