Mara nyingi huyu jamaa mmemuona kama mlopokaji lakini anaongea vitu sensitive sana,,vitu vya mbali ambavyo ukiwa na uwezo mdogo wa kufikiria au mvivu wa kufikiria kama watu fulani desturi inavyowabana (wanaosema ndiyo,,ndiyoooo,,,,,!) hakika huwezi kumuelewa. Mie nimesema tuu,,,
Sent using...