Recent content by mwalimuproto

  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kwa kutizamia mafanikio, changamoto za sekta mbalimbali; Haya yafanyike kwa maendeleo ya taifa

    Mkuu, kuna tatizo la kushindwa kuvote kwenye andiko langu ss nimejaribu kuwasiliana na jamiiforum but bado changamoto inaendelea.
  2. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vigezo na Masharti ya kushiriki katika Shindano la Stories of Change - 2024

    Mkuu naomba kupata muafaka wa tatizo langu la kushindwa kuvote
  3. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vigezo na Masharti ya kushiriki katika Shindano la Stories of Change - 2024

    But still kuna changamoto ya namna ya kuvote. Kila nikijaribu kuvote inakataa kabisa
  4. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vigezo na Masharti ya kushiriki katika Shindano la Stories of Change - 2024

    Sehemu ya mshale imetengeneza kama giza , hivyo inakataa kuruhusu vote. Na kila nikijaribu kugusa inakataa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vigezo na Masharti ya kushiriki katika Shindano la Stories of Change - 2024

    Mimi nimejiregister na jina la account yng ni mwalimuproto.
  6. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vigezo na Masharti ya kushiriki katika Shindano la Stories of Change - 2024

    Bado inakataa kuvote, najaribu kugusa huo mshale lkn haikubali kuvote.
  7. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vigezo na Masharti ya kushiriki katika Shindano la Stories of Change - 2024

    Ndio, sema nikujaribu kugusa haikubali. Sas nashindwa kufahamu changamoto ni kitu gan
  8. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vigezo na Masharti ya kushiriki katika Shindano la Stories of Change - 2024

    Naomba kufahamu kweny kipengele cha " vote " , naona kwangu mfumo unagoma kuvote.
  9. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kwa kutizamia mafanikio, changamoto za sekta mbalimbali; Haya yafanyike kwa maendeleo ya taifa

    TANZANIA TUITAKAYO Tanzania ni miongoni mwa nchi barani Afrika inayoendelea kukua kwa kasi kiuchumi. Hii ni kutokana na umahiri wa awamu mbalimbali za uwongozi wa serikali zenye ustadi na umahiri mkubwa wa kusimamia na kuratibu shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Zifuatazo ni tathmini juu ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vigezo na Masharti ya kushiriki katika Shindano la Stories of Change - 2024

    Jambo zuri kwa maendeleo ya taifa. Tupo tayar kuijenga Tanzania tuitakayo.
Back
Top Bottom