Waziri wa utumishi na Tamisemi mnatakiwa kutoa majibu ni nani aliyehusika na hili.
Umeajiriwa mwaka mmoja na mtumishi mwenzio mwingine umemtangulia lakini kilichotokea july-septemba kuna watumishi walipanda madaraja ya mishahara kwa lugha ya mserereko, waliobaki majibu yaliyotolewa na HR na TSC...
Naona ajira za ualimu zimetoka, kuna kijana amekuwa akijitolea kwenye kituo chetu kwa miaka takribani mitano na anafanya kazi kwa uadilifu mkubwa na anaipenda kazi yake.
Tatizo amekuwa kila akiomba hapati kwa miaka yote hiyo. Naomba kama itawezekana akumbukwe kipindi hiki, kama utaruhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.