mkuu lengo haikuwa kubomoa bali kujenga. matusi nayameza maana kuweka sauti kunaaibisha zaidi na hivyo kunyima
nafasi ya kujirekebisha. nilichofanya ni kuonyesha udhaifu kidogo ili jamaa ajirekebishe
sikuamini maskio yangu aliposema kuwa watanzania tumebarikiwa kwa kila kitu ila kasoro tumelaniwa na Mungu kwa kuwa na gb ndogo ya memory na kwamba eti watu wa kagongwa tunagongwa na kwamba tumegongwa kwa sababu tumechagua jina la sehemu hii kuwa kagongwa!
mkuu amefunikwa kwa mbali sana na wasemaji wengine kiasi cha kutia shaka uwezo wa kuimudu na kuitendea haki
nafasi aliyonayo. kama nikiambiwa kutoa tathimini hotuba yake ilikuwa chini ya kiwango sana hata katibu wa bavicha kata hawezi kutoa hotuba ya chini kiasi kile.
nashukuru mkuu. hope wewe ni mwanaukawa.mie nimetoa mtizamo na ukweli wangu
kwa nia ya kujenga ndiyo maana sijataka kuweka sauti maana ninayo.Mhadhiri na katibu wa mkoa wamenikosha.
walikuwa very philosophical na hakika ni cdm material
Wakuu salaam.
Kwanza kabisa nitoe taarifa kuwa mie ni mwanamageuzi kindakindaki, Muumini safi wa ukawa na Mwanachadema asiyetahayari.
Pili niseme kuwa leo ni mara ya kwanza kuanzisha mada hapaJF na kwa kweli ni baada ya kushindwa kuvumilia nilichokishudia leo.
Leo nilibahatika kuudhuria...
Tundu anafaa sana kwa wakati huu kuliko wakati wowote ule kwa hili taifa. He is the Messi you need in a team.
ni bahati mbaya kwamba anaogopwa sana na mafisadi na yamewatungia wimbo hata wasio mafisadi na wao wanauimba.
Vijazi vijavyo havitaamini kwamba we didn't see him. Akiwa rais wa nchi hii...
nidanganye ili nipate nini? huo mkutano ulifanyika mabibo karibu na chuo cha NIT. pembeni yake kuna kijiwe cha ccm.mie nilihudhuria in person! unaweza ukaona hata nguzo kubwa za umeme. wewe huo wa kimara ulihudhuria na je kimara mavurunza kuna nguzo za umeme upande huo?
awe na adabu kwa msaliti? huu mkutano ulifanyika mabibo, mie binafsi nilikuwepo.Zitto alikuja too
late na hakuwa na influence ya maana.wana wa ubungo tulikuwa tumeshamchagua Mnyika tangu 2005.
nakubaliana na wewe. nachojaribu ni kufikiri nje ya boksi.mfano kompyuta inafaa sana kwa kuchapa lakini ukiitumia tu au
zaidi kwa kuchapa unakuwa unaitumia chini ya kiwango
kamanda mbowe amekusikia atamsajili huyo jamaa. Asante mbowe kwa usajili mzuri we ni kocha bora
hapa Tanzania. Hata hivyo kwa hoja za jana nadhani Lissu hafai bungeni maana ni kama tunamtumia chini ya kiwango.
nadhani angeenda kufundisha ili tupate wananzuoni waliobobea kama yeye.
ushindi wa damu ndio mtamu hasa kama vita vyenyewe vilikuwa vya kujitetea na kudai haki.Mwaka huu tunakula na nyinyi sambamba ama zenu ama zetu mmezoea vya kunyonga mwaka huu mtakula vya halali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.