Recent content by Mwalimu abeli

  1. M

    Asas na Hanspope mgombea wenu Jimbo la Kalenga hajaomba ruhusa kwa mteuzi wake msitudanganye wahehe tuna shida zetu

    Nitakutajia akishachukua fomu kule ofisini amekwenda na kusaini tu kitabu Cha wageni hao kina asas na Hanspope wametuma wapambe wako field kolikoli na wajumbe wa mkutano wa wilaya wanatuambia iringa jimbo la kalenga safari hii linatoa waziri wa nishati na madini kwani huyu bwana ni mbobevu wa...
  2. M

    Asas na Hanspope mgombea wenu Jimbo la Kalenga hajaomba ruhusa kwa mteuzi wake msitudanganye wahehe tuna shida zetu

    Hivi Jana huku kalenga wapiga debe wa mgombea wa asas na Hanspope jimbo la kalenga walikuwa wanamnadi kuwa huyu jamaa hakutumbuliwa kwa ubadhirifu ila aliomba ruhusa Mh Magufuli akateuwa mtu mwingine ili huyu mgombea wa kina asas na Hanspope aje kalenga achukue ubunge Swali ninalojiuliza asas...
  3. M

    UTEUZI: Rais Magufuli ateua Mkuu mpya wa Wilaya ya Nzega na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Hanang

    Maskini kibassa huyu anajidanganya kutaka ubunge jimbo la kalenga wakati wagombea tumejaa Tena alikuja tu kuweka saini kitabu Cha wageni hapa ofisi za ccm wilaya
Back
Top Bottom