Recent content by MWAKYONIKE

  1. M

    JamiiForums Uimara wa gari aina ya Nissan X trail.

    Thanks Ymollel I really appreciate ur advice.
  2. M

    JamiiForums Uimara wa gari aina ya Nissan X trail.

    Nashukuru sana kwa mchango wako alphonce.net kifupi kwanza barabara ninayotembea ndio ina mashimo tukizingatia barabata nyingi za vumbi hasa dar es salaam huwa zina mashimo sana kutokana na wingi wa magari na mvuazisizotarajiwa. Nahitaji gari ambayo ni 4x4 . Nimeona huenda nikiwa na xtrail ya...
  3. M

    JamiiForums Uimara wa gari aina ya Nissan X trail.

    Mr Mawere kuwa specific brother. Hicho kifaru ndio kipi?
  4. M

    JamiiForums Uimara wa gari aina ya Nissan X trail.

    Habari za leo ndugu wadau wa Jamii forum. Naomba kufahamu uimara wa gari aina ya Nissan X trail kwa matumizi ya kila siku mfano nchini Tanzania . Mfano kwa matumizi ya kila siku hapa Dar es salaam ukizingatia mie nakaa kilomita 45 kutoka katikati ya jiji na ninalazimika kutembea km 20 za...
Back
Top Bottom