Upatikanaji wa Dawa na Vifaa Tiba umepelekea wagonjwa 152,332 waliotakiwa kwenda kutibiwa nje ya Mkoa na sasa kutibiwa katika Hospitali yetu ya Mount Meru.
Chini ya Rais Samia Upatikanaji wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi Mkoani Arusha wafikia asilimia 93.
Rekodi za Kitaifa zinaonesha kuwa Tanzania imeongeza MRI kutoka 7 hadi 13, CT scan kutoka 13 hadi 45, Digital X-Ray kutoka 147 hadi 491 na Ultrasound kutoka 476 hadi 970. Hata hivyo Mkoa wa...
KUTIKI PAKO PALE PALE... KUPIGA KURA NI HAKI YA MTU baki na chama chako cha kupiga makelele na bila kutengeneza hoja za Msingi mnaendeshwa kama gari bovu.
ARUSHA TZS Bilioni 99 kwa Elimu Bora!
Rais ametumia TZS99bn kujenga shule mpya 34, madarasa 834 mabweni 60 na maabara 78.
Rais Samia amejenga shule mpya 27 za sekondari, shule mpya saba (7) za msingi na kujenga vyumba vya madarasa 843 na mabweni 60 ya wavulana na wasichana. Hata hivyo Mama Samia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.