Recent content by mwakiloboto

  1. M

    October 28, 2020: My vote is for only God fearing person

    Personally I'll select man of people and not someone want to sell his own country for his own interest.
  2. M

    Suala la Mafuta Zanzibar: Rais Magufuli mbona unaenda kinyume na Katiba ya JMT?

    Ameongea hivyo kuwaonyesha kwamba Rasilimali Kama hizo zinawafaidisha pia na wazanzibar kwa asilimia kubwa
  3. M

    GE2020 MAHOJIANO: Tundu Lissu na VOA ya kusimamishwa kampeni na NEC, anakubaliana na Magufuli kuhusu COVID19

    Hivi kuna Nyomi wapinzani wanapata Kama ambayo waliwahi kupata 2015 na hawakushinda mseme leo mbele ya Rais Magufuli ambae ametetea wanyonge wengi Tanzania
  4. M

    GE2020 Karatu, Manyara: Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu (Sept 29, 2020)

    Wapiga kura wanajulikana siku zote na hiyo karatu imeongozwa na Chadema miaka 25 yote lakini hamna walichofanya lakini ndani ya miaka MITANO ya Rais Magufuli Karatu wamepata Hospitali, Ongezeko la bajeti ya Dawa na vifaa tiba vimeongezeka, Elimu bure na miundombinu mbalimbali vimetolewa bila...
Back
Top Bottom