Recent content by mwakanga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Chuo cha Ualimu Kabanga, Kigoma uchukuliwe hatua kwa matumizi mabaya ya fedha za Umma

    Hii ndoo Tanzania ya CCM kamanda wa TAKUKURU VALENTINO MLOWOLA atapotezea tu.wanajuana.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Chuo cha Ualimu Kabanga, Kigoma uchukuliwe hatua kwa matumizi mabaya ya fedha za Umma

    Takukuru ya huko kasulu ni wapiga dili tu labda kamanda mkuu,VALENTINO MLOWOLA mwenyewe.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Chuo cha Ualimu Kabanga, Kigoma uchukuliwe hatua kwa matumizi mabaya ya fedha za Umma

    Hapa ndoo utaona uhuni wa Takukuru badala ya kufanya kazi yao na wao watabugia dili
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Chuo cha Ualimu Kabanga, Kigoma uchukuliwe hatua kwa matumizi mabaya ya fedha za Umma

    Huu ndoo upuuzi wa Tanzania hii badala ya kuchukua hatua za kiuchunguzi unadai vielelezo nini maana ya TAKUKURU NA TISS. Hawa ndoo wanatakiwa wafuatilie sasa. Au tuache watu waendelee kupiga dili.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Chuo cha Ualimu Kabanga, Kigoma uchukuliwe hatua kwa matumizi mabaya ya fedha za Umma

    Fikeni Chuo husika yote mtayakuta
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Chuo cha Ualimu Kabanga, Kigoma uchukuliwe hatua kwa matumizi mabaya ya fedha za Umma

    Uongozi wa Chuo cha ualimu Kabanga kilichopo Mkoa wa Kigoma uchukuliwe hatua kwa matumizi mabaya ya fedha za serikali. 1.Mnamo mwaka 2011 ulipitisha mchango wa shilingi 20000 kwa kila mwanachuo kwa ajili ya ujenzi wa maktaba haikujengwa pesa zikaibiwa. 2.mnamo 2013 mchango ulichangishwa pia...
Back
Top Bottom