Asante sana kiongozi kwa maneno ya faraja kubwa sana maishani mwangu, maana hata aliyekuwa mpenzi wangu baada ya kumwambia hii kitu aliniacha gheto na hajawahi kunipigia simu tena. Lakini wewe unenifariji kwa dhati ya moyo wako mkuu wangu.
nimepata nguvu mpya ya kuishi kwa miaka mingine mingi...
Asante sana mkuu kwa kuchukua muda wako na kunishauri mambo mengi muhimu. Mkuu tangu nijue hali ya yule kimwana sasa ni wiki ya 6 na siku 5 yaani zimepita siku 40. Sio rahisi sana kufika hapa maana niko vibaya emmotionally na sioni tumaini japo nadhani nikijua hali ya afya yangu naweza jua nini...
Mkuu asante kwa msaada wako, naomba kujua pia ghalama zake maana nilifika hapa Singida rufaa wakasema hakuna zaidi ya hizo za miezi 3. Nikijua ghalama zake naweza kujipanga na kuja Dar maana ndipo karibu kutoka hapa Singida. Asante tena
ninmwezi mmoja tu tambu ni fanye mapenzi na dada ambaye baada kumfanya tulienda maabara kupima maana nilimuona anavutia sana na alikuwa na umri wa miaka 19 tu hivyo nikaamini atakuwa mzima. Baada ya kumfaidi nikajenga hoja ya kujua afya zetu na tulivyopima sikuamini matokeo binti alikutwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.