Mkuu eti demu kakomaa!! Kwanza mkuu hauko makini kwann usingedai kutumiwa picha na huyo manzi,hii ingekusaidia wewe kujilizisha kama manzi ni kali au ya kiboya ...pili unatumaje na ya kutolea wewe sio baharia kabisa
***1118***
Ngoja na mimi nijazie jazie uzi pendwa
Miaka kama minne ishapita nakumbuka ilikuwa siku ya jumatatu tar kama 10 au 9 sikumbuki vizuri..nilikuwa natokea getto naelekea chuoni UDOM.
Ilikuwa ni kawaida sana kuwa na foleni siku ya jumatatu pale jamatini sbb huwa na foleni sana ya wanafunzi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.