Usawa wa Kijinsia ni hali ya uapatikanaji sawa wa rasilimali na fursa bila kujali jinsia.
Suala la usawa wa kijinsia limewekewa nguvu kubwa hapa nchini, ikiwa ni pamoja kuwekwa sera, utoaji wa elimu ya masuala ya kijinsia na kukomesha vitendo vya ukatili. Inasikitisha sana kwamva baadhi...
Linapokuja suala la sayansi na uvumbuzi tunakubaliana kwamba, ni fursa kubwa na yenye soko kubwa na la uhakika duniani kwote.licha ya Tanzania kutokuwepo kwenye orodha ya nchi zinazoongoza kwa ubunifu na uuzaji wa teknolojia duniani ,lakini Bado nchii hii Ina nafasi ya kuwekeza na kuwa nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.