Recent content by muvijo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Harakati za kwenda wizara ya elimu zaweza kuzaa matunda juu ya hatma ya tuliokosa mkopo 2013/2014

    Tukutane maeneo yapi tuanze safari ya pamoja? Tuelekezane wadau najiopanga nauli nitoke bush kuja town kupiga kambi mpaka tupate jibu la THE INDEX.....SECURED LOA ACC 2013/2014
  2. M

    JamiiForums Tanzania Majibu ya kupewa mkopo wizara yajibu

    asante mdau jana tulikuwa wote heslb nakuaminia ijumaa naungana nawewe (ninyi) kwenda wizarani kupata majibu, ngoja niotafute nauli yakunitoa chalinze nije
  3. M

    JamiiForums Tanzania Majibu ya kupewa mkopo wizara yajibu

    Nashukuru mdau mimi by ijumaa nakuja kuunga company twende kama timu ili tuthibitishe mliyosema na waone yakwamba tupo waitaji na tutashindwa kwenda Vyuoni maana hata pesa za Registration hatuna so we cant wait for apeal setion. Tujumuike wote ijumaa wadau who DID NOT SECURE LOAN and THOSE WHO...
  4. M

    JamiiForums Tanzania vp kunatatizo hapa?

    Mie nilipata Bsc Agronomy SUA ila ndo ivo majanga mdau. kesho tutapata majibu tu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waliomaliza Diploma 2013 kukosa Mkopo: NACTE wawalaumu HESLB?

    Asante mkuu kesho nawafuata ofisini kwao
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waliomaliza Diploma 2013 kukosa Mkopo: NACTE wawalaumu HESLB?

    niliomba pitia NACTE nikachaguliwa Bsc Agronomy SUA ila nimekosa loan, why Diploma holderS?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waliomaliza Diploma 2013 kukosa Mkopo: NACTE wawalaumu HESLB?

    I am diplomd holder Mie pia nimeambulia did not secure na
  8. M

    JamiiForums Tanzania body ya mikopo vipi mbona kama kuna ubaguzi hivi

    Wenda ikawa, tumwombe Mungu
  9. M

    JamiiForums Tanzania vp kunatatizo hapa?

    Kwanza hongera kupata mkopo, vipi na wewe ni Diploma holder? maana niliomba through NACTE nikapata Bsc Agronomy lakini mkopo nimeambulia INDEX .......NOT SECURE.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jamani habari za heslb na mikopo

    Kesho mkuu nitaenda HESLB so utapata news zote
Back
Top Bottom