Recent content by Muvera

  1. M

    Msiba wa sheikh nassor bachu

    Jamani, hebu acheni kugombana! Waislamu tuacheni hasira zisizo na maana. Kama mtu anataka kujua maana ya jambo lililo ndani ya Uislamu tumjulisheni kwa amani hata kama yeye ametumia jazba. Ndiyo njia aliyo kuwa akiitumia Mtume Wetu Muhammad Salla Llahu Alayhi Wasallam. Msisahau kuwa Islam maana...
Back
Top Bottom