Recent content by Muungwana2014

  1. M

    Wanawake wa Kimarangu ni hatari

    Kwahio KUUA si kitendo cha kawaida naona hio ni roho ya Kipepo kabisa na wala haihusishi kabila tu pekee bali watu wote tu, awe mwanamke au mwanaume sina maana yawatu wote duniani bali wenye roho hizo za Kipepo. Kwahio acheni kuwakwaza watu waliooa kabila hilo na wanaotaka kuoa. Kwani ni...
  2. M

    Wanawake wa Kimarangu ni hatari

    Mtu yeyote asie na hofu ya Mungu , yaani asiekua naroho ya utu, mwenye roho ya kimnyama na katili ndio anayeweza kutenda UASI huo na si kabila hilo tu peke yake, anaweza akatoka kabila lolote hapa Tanzania na hata nje ya nchi na dunia yote kwa ujumla.
  3. M

    Masikini dada huyu azomewa na kujambishwa baada ya kuvaa mini sketi huko Arusha

    Habari! Mimi mwenyewe niliona huyo dada kavaa kawaida tu kama watu wengine ni watu wengine kutokua na shughuli za kufanya
Back
Top Bottom