Poleni, Kiswahili changu siyo kizuri kama kile mmezoea lakini nimeona ni lazima niwajulishe kuwa hapa Kenya DECI ilikuwaa na saa hii tunajuta mimi nikiwa mmoja. Kama ni ile ile ilikuwa hapa. saa hii watu wengi tumepoteza hela zetu na hatuna matumaini ya kuzipata tena kwa vile hata serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.